Kijana kutoka Tanzania mwenye Kusudi la uundwaji wa Taifa la kifalme juu ya Baraka, Karama na Maono adhimu ya Mafanikio ya kweli na ulinzi wa Ustaarabu na Utu ndani ya Milenia hii. Mtaalamu wa Dini na Falsafa ambaye Hakupitia Masomo rasmi. Aliyedhihirika kupitia kusudi la uanzishaji wa Taifa la Kifalme lenye upatanisho kati ya ulimwengu halisia na ulimwengu wa kiroho. Mwanasiasa Mwadilifu na Mwenye Karama tele ambaye amesimama kama alama ya Mizani katika masuala yapasayo kuamua juu ya utawala safi. "Nimejinasibu na kunasibishwa na ulezi na ulinzi wa Ustaarabu kuipitia Hekima, Busara, upendo na uelewa wa hali ya Juu".
Zumbe10D
Tunajenga Bustani / Taifa na Taifa linatutuza

